Psalms 118:25-26


25 aEe Bwana, tuokoe,
Ee Bwana, utujalie mafanikio.
26 bHeri yule ajaye kwa jina la Bwana.
Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki.
Copyright information for SwhNEN