Psalms 122:3-5


3 aYerusalemu imejengwa vyema kama mji
ambao umeshikamanishwa pamoja.
4 bHuko ndiko makabila hukwea,
makabila ya Bwana,
kulisifu jina la Bwana kulingana na maagizo
waliopewa Israeli.
5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa,
viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.
Copyright information for SwhNEN