Psalms 127:3-5


3 aWana ni urithi utokao kwa Bwana,
watoto ni zawadi kutoka kwake.
4 bKama mishale mikononi mwa shujaa
ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
5 cHeri mtu ambaye podo lake
limejazwa nao.
Hawataaibishwa wanaposhindana
na adui zao langoni.
Copyright information for SwhNEN