Psalms 139:1-4
Mungu Asiyeweza Kukwepwa
Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.
1 aEe Bwana, umenichunguzana kunijua.
2 bUnajua ninapoketi na ninapoinuka;
unatambua mawazo yangu tokea mbali.
3 cUnafahamu kutoka kwangu na kulala kwangu;
unaelewa njia zangu zote.
4 dKabla neno halijafika katika ulimi wangu,
wewe walijua kikamilifu, Ee Bwana.
Copyright information for
SwhNEN