Psalms 145:11-13
11Watasimulia utukufu wa ufalme wakona kusema juu ya ukuu wako,
12 aili watu wote wajue matendo yako makuu
na utukufu wa fahari ya ufalme wako.
13 bUfalme wako ni ufalme wa milele,
mamlaka yako hudumu vizazi vyote.
Bwana ni mwaminifu kwa ahadi zake zote
na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya.
Copyright information for
SwhNEN