Psalms 18:25-27


25 aKwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia.
26 bKwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu,
lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi.
27 cWewe huwaokoa wanyenyekevu,
lakini huwashusha wenye kiburi.
Copyright information for SwhNEN