Psalms 29:9

9 aSauti ya Bwana huzalisha ayala,
na huuacha msitu wazi.
Hekaluni mwake wote wasema,
“Utukufu!”
Copyright information for SwhNEN