Psalms 30:7

7 aEe Bwana, uliponijalia,
uliuimarisha mlima wangu,
lakini ulipouficha uso wako
nilifadhaika.
Copyright information for SwhNEN