Psalms 33:13-15

13 aKutoka mbinguni Bwana hutazama chini
na kuwaona wanadamu wote;
14 bkutoka maskani mwake huwaangalia
wote wakaao duniani:
15 cyeye ambaye huumba mioyo yao wote,
ambaye huangalia kila kitu wanachokitenda.
Copyright information for SwhNEN