Psalms 37:14


14 aWaovu huchomoa upanga
na kupinda upinde,
ili wawaangushe maskini na wahitaji,
kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu.
Copyright information for SwhNEN