Psalms 41:6-7
6 aKila anapokuja mtu kunitazama,
huzungumza uongo,
huku moyo wake hukusanya masingizio;
kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko.
7 bAdui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu,
hao huniwazia mabaya sana, wakisema,
Copyright information for
SwhNEN