Psalms 44:12-14
12 aUmewauza watu wako kwa fedha kidogo,
wala hukupata faida yoyote kwa mauzo yao.
13 bUmetufanya lawama kwa jirani zetu,
dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
14 cUmetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa,
mataifa hutikisa vichwa vyao.
Copyright information for
SwhNEN