Psalms 44:13-16
13 aUmetufanya lawama kwa jirani zetu,
dharau na dhihaka kwa wale wanaotuzunguka.
14 bUmetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa,
mataifa hutikisa vichwa vyao.
15 cFedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa,
na uso wangu umejaa aibu tele,
16 dkwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana,
kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi.
Copyright information for
SwhNEN