Psalms 50:10-12
10 aKwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu,na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
11 bNinamjua kila ndege mlimani,
nao viumbe wa kondeni ni wangu.
12 cKama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi,
kwa maana ulimwengu ni wangu,
pamoja na vyote vilivyomo ndani yake.
Copyright information for
SwhNEN