Psalms 55:9-11


9 aEe Bwana, uwatahayarishe waovu
na uwachanganyishie semi zao,
maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
10 bUsiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake,
uovu na dhuluma vimo ndani yake.
11 cNguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini,
vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
Copyright information for SwhNEN