Psalms 56:3-4


3 aWakati ninapoogopa,
nitakutumaini wewe.
4 bKatika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu,
katika Mungu ninatumaini; sitaogopa.
Mwanadamu apatikanaye na kufa,
atanitenda nini?
Copyright information for SwhNEN