Psalms 72:5-6


5 aAtadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote.
6 bAtakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa,
kama manyunyu yanyeshayo ardhi.
Copyright information for SwhNEN