Psalms 74:10-11


10 aEe Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini?
Je, adui watalitukana jina lako milele?
11 bKwa nini unazuia mkono wako,
mkono wako wa kuume?
Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako
na uwaangamize!
Copyright information for SwhNEN