Psalms 78:24-25

24 aakawanyeshea mana ili watu wale;
aliwapa nafaka ya mbinguni.
25Watu walikula mkate wa malaika,
akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.
Copyright information for SwhNEN