Psalms 78:26-28
26 aAliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu
na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.
27 bAliwanyeshea nyama kama mavumbi,
ndege warukao kama mchanga wa pwani.
28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao,
kuzunguka mahema yao yote.
Copyright information for
SwhNEN