Psalms 78:32


32 aLicha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi,
licha ya maajabu yake, hawakuamini.
Copyright information for SwhNEN