Psalms 78:68-70
68 alakini alilichagua kabila la Yuda,
Mlima Sayuni, ambao aliupenda.
69 bAlijenga patakatifu pake kama vilele,
kama dunia ambayo aliimarisha milele.
70 cAkamchagua Daudi mtumishi wake
na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
Copyright information for
SwhNEN