Psalms 88:10-12
10 aJe, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako?Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?
11 bJe, upendo wako hutangazwa kaburini,
uaminifu wako katika Uharibifu? ▼
▼Yaani Abadon.
12 dJe, maajabu yako hujulikana mahali pa giza,
au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu?
Copyright information for
SwhNEN