Psalms 89:11-13
11 aMbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako,uliuwekea ulimwengu msingi
pamoja na vyote vilivyomo.
12 bUliumba kaskazini na kusini;
Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha.
13 cMkono wako umejaa uwezo;
mkono wako una nguvu,
mkono wako wa kuume umetukuzwa.
Copyright information for
SwhNEN