Psalms 89:3-4


3 aUlisema, “Nimefanya agano na mteule wangu,
nimemwapia mtumishi wangu Daudi,
4 b‘Nitaimarisha uzao wako milele
na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”
Copyright information for SwhNEN