Revelation of John 10:1
Malaika Mwenye Kitabu Kidogo
1 aKisha nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. Alikuwa amevikwa wingu na upinde wa mvua juu ya kichwa chake. Uso wake ulingʼaa kama jua na miguu yake ilikuwa kama nguzo za moto.
Copyright information for
SwhNEN