Revelation of John 2:7
7 a “Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso ▼▼ Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda.
ya Mungu.
Copyright information for
SwhNEN