Revelation of John 9:11
11 aWalikuwa na mfalme wao, ambaye ni malaika wa lile Shimo, ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani ni Apolioni. ▼▼Abadoni au Apolioni maana yake ni Mharabu, yaani Yule aharibuye.
Copyright information for
SwhNEN