Romans 11:8-10
8 akama ilivyoandikwa:“Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo,
macho ili wasiweze kuona,
na masikio ili wasiweze kusikia,
hadi leo.”
9 bNaye Daudi anasema:
“Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa,
kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.
10 cMacho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona,
nayo migongo yao iinamishwe daima.”
Copyright information for
SwhNEN