Song of Solomon 6:1-2
1 aMpenzi wako amekwenda wapi,ewe mzuri kupita wanawake wote?
Mpenzi wako amegeukia njia ipi,
tupate kumtafuta pamoja nawe?
Mpendwa
2 bMpenzi wangu amekwenda bustanini mwake,
kwenye vitalu vya vikolezo,
kujilisha bustanini
na kukusanya yungiyungi.
Copyright information for
SwhNEN