Titus 2:11-12
11 aKwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa. 12 bNayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa,
Copyright information for
SwhNEN