‏ 1 Kings 11:25

25 aRezoni alikuwa adui wa Israeli kwa muda wote alioishi Solomoni, ukiongezea matatizo yaliyosababishwa na Hadadi. Kwa hiyo Rezoni akatawala katika Aramu
Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).
na alikuwa mkatili kwa Israeli.

Copyright information for SwhNEN