‏ 2 Chronicles 25:27-28

27 aKuanzia wakati ule Amazia alipogeuka na kuacha kumfuata Bwana walifanya shauri baya dhidi yake huko Yerusalemu naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi nao wakamuulia huko. 28 bAkarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

Copyright information for SwhNEN