2 Samuel 14:26

26 aKila mara aliponyoa nywele za kichwa chake, kwa kuwa alikuwa akinyoa mara kwa mara zilipokuwa zinamwia nzito, alizipima uzito wake ulikuwa shekeli mia mbili kwa kipimo cha kifalme.
Shekeli 200 kwa kipimo cha kifalme ni sawa na kilo 2.3.


Copyright information for SwhNEN