2 Samuel 5:20
20 aNdipo Daudi akaenda mpaka Baal-Perasimu, na huko akawashinda Wafilisti. Akasema, “Kama mafuriko yafurikavyo, Bwana amewafurikia adui zangu mbele yangu.” Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Baal-Perasimu. ▼▼Maana yake Bwana Afurikae.
Copyright information for
SwhNEN