‏ Deuteronomy 32:17-19

17 aWakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu:
miungu wasiyoijua,
miungu iliyojitokeza siku za karibuni,
miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa.
18 bMkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi;
mkamsahau Mungu aliyewazaa.

19 c Bwana akaona hili, akawakataa,
kwa sababu alikasirishwa
na wanawe na binti zake.
Copyright information for SwhNEN