Ephesians 5:7-11
7Kwa hiyo, msishirikiane nao.8 aKwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9 b(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10 cnanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11 dMsishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Copyright information for
SwhNEN