Ezekiel 1:24
24 aViumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao, kama ngurumo ya maji yaendayo kasi, kama sauti ya Mwenyezi, ▼▼Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.
kama makelele ya jeshi. Waliposimama kimya walishusha mabawa yao.
Copyright information for
SwhNEN