‏ Genesis 18:4

4 aAcha yaletwe maji kidogo, kisha ninyi nyote mnawe miguu yenu na mpumzike chini ya mti huu.
Copyright information for SwhNEN