Genesis 30:20

20 aNdipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.
Zabuloni maana yake Heshima.


Copyright information for SwhNEN