Jeremiah 1:15
15 aNitawaita watu wote wa falme za kaskazini,” asema Bwana.
“Wafalme wao watakuja na kuweka viti vyao vya enzi
katika maingilio ya malango ya Yerusalemu,
watakuja dhidi ya kuta zake zote zinazouzunguka,
na dhidi ya miji yote ya Yuda.
Copyright information for
SwhNEN