‏ Jeremiah 22:30

30 aHili ndilo Bwana asemalo:
“Mwandike huyu mtu kama asiye na mtoto,
mtu ambaye hatafanikiwa maisha yake yote,
kwa maana hakuna mtoto wake atakayefanikiwa,
wala kukaa kwenye kiti cha enzi cha Daudi
wala kuendelea kutawala katika Yuda.”
Copyright information for SwhNEN