Jeremiah 48:40-41
40 aHili ndilo asemalo Bwana:
“Tazama! Tai anashuka chini,
akitanda mabawa yake juu ya Moabu.
41 bMiji itatekwa na ngome zake
zitatwaliwa.
Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu
itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa.
Copyright information for
SwhNEN