Jeremiah 50:21


21 a“Shambulieni nchi ya Merathaimu
na wale waishio huko Pekodi.
Wafuatieni, waueni
na kuwaangamiza kabisa,”
asema Bwana.
“Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Copyright information for SwhNEN