Jeremiah 50:45
45 aKwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Babeli,
kile alichokusudia dhidi ya nchi ya Wakaldayo:
Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali.
Yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao.
Copyright information for
SwhNEN