Job 14:16-17

16 aHakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu,
lakini hutazifuatia dhambi zangu.
17 bMakosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko,
nawe utazifunika dhambi zangu.
Copyright information for SwhNEN