Joshua 16:3-5
3 aukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini.4 bKwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yosefu, walipokea urithi wao.
5 cHili ndilo lilikuwa eneo la Efraimu, ukoo kwa ukoo:
Mpaka wa urithi wao ulianzia Ataroth-Adari upande wa mashariki hadi Beth-Horoni ya Juu,
Copyright information for
SwhNEN