Joshua 17:1
Mgawo Wa Nusu Nyingine Ya Manase Upande Wa Magharibi
1 aHuu ndio mgawo wa kabila la Manase kama mzaliwa wa kwanza wa Yosefu, yaani kwa ajili ya Makiri, mzaliwa wa kwanza wa Manase. Makiri alikuwa baba wa Wagileadi, ambao walipokea Gileadi na Bashani kwa sababu Wamakiri walikuwa askari wakuu.
Copyright information for
SwhNEN