Luke 3:15-16
15 aWatu walikuwa na matazamio makubwa. Wakawa wanajiuliza mioyoni mwao iwapo Yohana angeweza kuwa ndiye Kristo. ▼▼Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
16 cYohana akawajibu akawaambia, “Mimi nawabatiza kwa maji. ▼▼Tafsiri nyingine zinasema ndani ya maji.
Lakini atakuja aliye na nguvu kuniliko mimi, ambaye sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Copyright information for
SwhNEN