Malachi 3:8-9
8 a“Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia mimi.
“Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna gani?’
“Mnaniibia zaka na dhabihu. 9 bMko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Copyright information for
SwhNEN